Recruiting Agency

Majesty S P

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
62
Reaction score
88
Ndugu zangu Jana nimepata Email ya kuitwa kwenye Interview kutoka moja ya Recruiting Agency inayoitwa Renstein Consultancy ila walichoniambia interview wiki ijayo na Nilipe registrations fee kabla ya Interview.

Siku kuna utapeli mwingi sna hasa mitandaoni kwenye maswala ya Ajira.Nimepata wasiwasi juu ya hay mambo mawili wakati wananipa taarifa hii.

1.Hawana domain, kwa kampun au shirika kubwa lazima liwe na domain hawawez tumia gmail
2. Wanaelekeza ofisi zilipo alaf hawaeki ni kwenye jengo gani au floor namba ngap
Hawa siwaamin
3.Hawana website ambayo inaonesha shortlisted candidates au hata website ya Taarifa zao kama agency
4.utapel unaonendelea Siku hzi juu ya ajira

Ndugu zangu ninachotaka niwaombe kama kuna mtu ambaye aliwahi fanya interview kupitia hii Recruiting Agency ya Reinsten Consultancy aweze kunisaidia kama ni kweli wapo na waaminifu au ndio matapeli tu mitandaoni.
 
Kuna harufu ya upigaji hapa?
Ngoja tuwasubiri waliowahi kufanya interview nao lakn mpk hapa sina iman nao
 
Yaan ukisikia neno "hela" unatakiwa uruke futi 1000000....! Ajira za kweli huwa kamwe muombaji hawezi kulipia chochote, labda nauli ya kwenda kwenye eneo la tukio na malazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…