Nadhani wakuu wote ni wazima, leo nlikua nmeanzisha maada muhimu kama hii maana wa2 wengi wamekuwa wakipoteza data zao kama picha za camera na hivyo kuwa katika wakati mgumu, pia ofisini documents zimekuwa zikipotea kwa kuwa deleted ,sasa nikaona niwape software nzuri hii ya kurecover haya mafile ili mweze kurudisha upya vi2 vyenu japo sio kila ki2 kitarudi