Mayere mpaka Sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu.
Amefunga mabao 17
Ana assist 4
Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka record mpya ya upachikaji wa mabao.
Maana Ligi haijafika hata Kati Kati FA haijaanza, mapinduzi cup Bado haijaanza shirikisho ana game 6 huyu ni tishio africa kwa Sasa.