Akifika wakati wakuzaa sio mtoto tena ni mama, ndio maana hata mme wangu ananiita mimi mama maana anajua kuwa mwanamke ni mzazi na nina thamani ya mama muda wote na mwanamke ndio anaweza kucontrol maswala yote ya familia. aisee! hili halipingwi kabisa.