Real reasons why men cheat on beautiful women

absolutely true.......................
 
daa kweli,mi pia nliwai kuwa na mtoto mzur flan ila ilbd nimfany km pambo la nkiwa na wana coz in real lyf wako ovyoo kuliko....................
 
Hii research amefanya mwanamke wa Kinaijeria... Sasa sie wanaume twahusika vipi kutafuta justification?

Najua alikuwa mbaya anatafuta kujisafisha? Nimeuliza hivi kwanini na wale wabaya wana experience the same?? Yaani wabaya hawacheatiwi? If the answer is yes, then why?
 
Ukahaba ni kipaji tu.Na wanaume wengi ndo wamehodhi tasnia .Kina mama nao ndo wameanza kujikung'uta vumbi na kuingia huko kwa nguvu.ila wenyeji wao(waaume)bado hawaja waukubali.

A cheater can cheat with no concreate reasons.
 
Najua alikuwa mbaya anatafuta kujisafisha? Nimeuliza hivi kwanini na wale wabaya wana experience the same?? Yaani wabaya hawacheatiwi? If the answer is yes, then why?

Wabaya wanachitiwa pia sikatai... Muhimu hapa akilichokuwa kinazungumziwa ili mwanamke ama wanawake wasichitiwe ni inside beauty, which is the calmness, kindness, support, understanding, softness and love... Usije ukafikiria kama we unasura nzuri sana so you are SAFE no nonoooo uwe mzuri pia na ndani....
 
Hapa ndo nimeelewa sasa
 
Men are polygamist by nature. It's undeniable truth. Whoever trying to oppose this natural law will end up being socked now and then
 
Ohhhhhhh Hapo kidogo nimeelewa mantiki ya makala haya, Thanks in advance.
 
Binti ukiwa mzuri nje uwe mzuri na ndani pia. Thats the fact, na ni wachache sana walio wazuri nje na ndani. Thts the truth
 
Wasipoelewa na hili shauri yao, "tutawachiti" tu na watatupendezesha tukienda nao maharusini na mijumuiko!!!!
 
Mkuu Bulldog bado kitufe cha like kinalalamika kwamba hukitendei haki lol!!!! Ni aje Mkuu? πŸ™‚πŸ™‚

Last edited by a moderator:
Wasipoelewa na hili shauri yao, "tutawachiti" tu na watatupendezesha tukienda nao maharusini na mijumuiko!!!!

The opposite is also true! Hata ninyi mahandsome warefu lakini mkwanja umepiga chenga, wababe, madictators, wavivu, msipoelewa hilo mtashangaa Captain KO.mb na tumbo kama kiboko anafagia hovyo wake zenu!!!

Kakaaaaa!....
 
Very true! Beautiful inside and outside as well
 
Binti ukiwa mzuri nje uwe mzuri na ndani pia. Thats the fact, na ni wachache sana walio wazuri nje na ndani. Thts the truth

Hata ukiwa mbaya ni vizuri kujilinda na uzuri wa ndani ...... ndiyo sababu there is a saying uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia!
 
The opposite is also true! Hata ninyi mahandsome warefu lakini mkwanja umepiga chenga, wababe, madictators, wavivu, msipoelewa hilo mtashangaa Captain KO.mb na tumbo kama kiboko anafagia hovyo wake zenu!!!

Kakaaaaa!....

Ha ha aaaa law of the jungle, my day breaker anthem!!!!
Yaaani hii usijiulize mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…