Real man

Nkyumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
332
Reaction score
104
If another woman steals your man,
There is no better revenge than letting her keep him,
Real men can't be stolen.....
 
ni namna ya kujipa moyo na kujifariji kutokana na ayo majanga.
 
kwakweli huku ni kujifariji...
ukimegewa nawe tafuta mnyonge ummegee...

Hii option yako pia haisolve tatito, ni kama inapunguza hasira tu na tena inaweza kukuweka kwenye wakati mgumu zaidi. Revenge ya namna hii inaweza kuya cost maisha yako yote na dunia ukaiona chungu. Kumbuka huyo unayemuona mnyonge wa kummegea, anaweza kuwa si mnyonge kama unavyofikiria wewe!
 
Yaan ifanye madudu mtu asitafute quencher kisa ntaonekana m not a real man!!!!!!

Historia itakuwa ishajiandika..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…