Umemaliza mjadala, Juve wana beki nzuri, ni ngumu saaana kwa timu yoyote kupata goali kwa Juventus, sio Madrid, sio Bayern sio Barca hata Chelsea.barca wapo vizuri kwenye ushambuliaji ila tatizo lao wanataka kufungia kwenye box tofauti na madrid ambao naona wanaweza hata kukufunga nje ya box pia barca ni wafupi mipira ya juu ni zero tofauti na madrid ambao wanaweza kutumia mipra ya juu japokuwa juve wana mabeki warefu.....ila kwenye mipira kumi ya juu kwa madrid wanaweza kufunga hata goli moja au mbili
Na hii inaenda kutimia ya 3.Hii kauli naisikia sana kitaa, eti RMA hajawahi poteza final. Aliyewalisha hili tango pori Mungu anamuona.
RMA ameshawahi kupoteza UEFA final mbili
UongoJuve beki yao itawabeba sana Ronaldo ndo yupo mwishon mwa career yake simuoni Ronaldo yule wa misimu mitatu iliyopita anachezea uzoefu speed yake inapungja kila siku juve nao higuain mzito kanenepa hatakuwa na hatari kubwq ile inayotarajiwa ila mwisho atakaechukua ndoo ataibeba kwa bahati nothing else
Mkuu unamzungumzia huyu huyu CR aliezifunga B.M,atletico,Valencia na jana Celta Vigo au ronaldo wa manzese?Juve beki yao itawabeba sana Ronaldo ndo yupo mwishon mwa career yake simuoni Ronaldo yule wa misimu mitatu iliyopita anachezea uzoefu speed yake inapungja kila siku juve nao higuain mzito kanenepa hatakuwa na hatari kubwq ile inayotarajiwa ila mwisho atakaechukua ndoo ataibeba kwa bahati nothing else
KakaMkuu unamzungumzia huyu huyu CR aliezifunga B.M,atletico,Valencia na jana Celta Vigo au ronaldo wa manzese?
Real Madrid ana kila sababu ya kuchukua kwa sababu wapo vizuri kuanzia beki(Ramos,Marcelo na Carvajal) viungo(Kroos,Casemiro na Mchawi Modric) hadi washambuliaji(CR,Benzema,Morata) bila kusahau supersub za kina James,Isco na Bale
Akili za Zidane si unazijua tena mkuu,Bale akipona tu utaona hiyo june 3 inacheza BBC huku Isco akiwa bench.Kaka
Bado tu unamuita Isco super sub kweli jaribu kuchek mechi za real Madrid za Uefa champion league Isco amekua akianza na matokeo watu wanayajua
Isco ni injini ya real Madrid kwa sasa ktk kiungo
Mkuu nakula maneno yangu sio kwa goli za Celta jana nmesahau hats nilichisemaMkuu unamzungumzia huyu huyu CR aliezifunga B.M,atletico,Valencia na jana Celta Vigo au ronaldo wa manzese?
Real Madrid ana kila sababu ya kuchukua kwa sababu wapo vizuri kuanzia beki(Ramos,Marcelo na Carvajal) viungo(Kroos,Casemiro na Mchawi Modric) hadi washambuliaji(CR,Benzema,Morata) bila kusahau supersub za kina James,Isco na Bale