barca wapo vizuri kwenye ushambuliaji ila tatizo lao wanataka kufungia kwenye box tofauti na madrid ambao naona wanaweza hata kukufunga nje ya box pia barca ni wafupi mipira ya juu ni zero tofauti na madrid ambao wanaweza kutumia mipra ya juu japokuwa juve wana mabeki warefu.....ila kwenye mipira kumi ya juu kwa madrid wanaweza kufunga hata goli moja au mbili