Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nauliza swali! Mliomo humu ni wazungu au ni sisi black? Nashindwa kuerewa comments zinazotorewa humu, hazitolewi kwa lugha yetu ya kiswahili bali zinatolewa kwa lugha ya kigeni...je hao wazungu wanapokuwa katika nchi zao mfano uingereza tu huwa wanatumiana comments kwa lugha yetu? Au lugha nyingine tofauti na kingereza?? Nazani mnao-coments kwa lugha hii ya kigeni ni watu wachache msiokuwa na akiri ya kufikiri.
 
Cc: Salamander
 
....mazingira uliyokulia au uliyomo ndio yanayo influence lugha ya mtu,regardless of your colour,kumbuka sio wote wanaotumia jf wako Tz,wengine wana miaka kibao uzunguni,sio kosa lao,so take it as it izy bob!
 
Real Madrid needs new blood and the club is aware. Cristiano Ronaldo is looking for a way out; most likely to PSG. [via @GuillemBalague]
 
Mbona 2014 hujataja? Acha unafiki wewe!
 
Real Madrid needs new blood and the club is aware. Cristiano Ronaldo is looking for a way out; most likely to PSG. [via @GuillemBalague]
Natofautiana na wewe bado Ronaldo anahitajika pale akiwa kama legendary. Jana tatizo ni umakini tu na kupanic kwa wachezaji. Ukiangalia tumekosa magoli matatu ya wazi ya Benzema,Ronaldo na Bale. Tuvumilie na kuwa na hamasa bado nafasi ipo kwetu.
 
The relationship between the club and Cristiano Ronaldo is weakened, specially after the sacking of Carlo Ancelotti. [EcoDiario]
 
Natofautiana na wewe bado Ronaldo anahitajika pale akiwa kama legendary. Jana tatizo ni umakini tu na kupanic kwa wachezaji. Ukiangalia tumekosa magoli matatu ya wazi ya Benzema,Ronaldo na Bale. Tuvumilie na kuwa na hamasa bado nafasi ipo kwetu.

Mkuu, kitu ninachofanya ni ku-share habari lizanazohusu Real Madrid kutoka kwenye different sources. Hayo maneno siyo yangu nimeyatoa kwenye twitter ya Guillem Balague wa Sky Sports's show Revista de la Liga.
Click hapa uone: Guillem Balague (@GuillemBalague) | Twitter
 
Acha ujuha wewe! Mara ya mwisho kuchukua kombe hili lin!? Umejisahaulisha tulivyomvuruga Bayern kwa agg 7 juzi juzi tu?
 
Acha ujuha wewe! Mara ya mwisho kuchukua kombe hili lin!? Umejisahaulisha tulivyomvuruga Bayern kwa agg 7 juzi juzi tu?
....sizungumzii habari ya kuchukua kombe,it's about turning a 2-0 down away, you and your fellow idiot,kusoma hamjui hata picha hamuelewi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…