Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #15,561
Washindwe kabisaa, kwa kiwango gani alichonacho Lukaku mpaka tutoe Pesa ndefu hivyo, si afadhali Morata akarudi, huku bado Borja anakuja mdogo mdogo. Kwanza hao Everton wasahau kabisa..Today's transfer rumor by BBC news : Real Madrid are in talks with Everton over Lukaku, they've scouted him many times this season. The price Everton asking for him is £60m.
Washindwe kabisaa, kwa kiwango gani alichonacho Lukaku mpaka tutoe Pesa ndefu hivyo, si afadhali Morata akarudi, huku bado Borja anakuja mdogo mdogo. Kwanza hao Everton wasahau kabisa..
Kwa anachokifanya Navas kwasasa, anawapa viongozi na Zidane wakati mgumu sana, sijui wataanzia wapi kumsajili De Gea, labda akubali kuja kukaa benchi.AS | In a poll taken among Real Madrid fans, 79% indicated they preferred Keylor Navas over De Gea.
Kama ninaona mwisho wa Isco pale Bernabeu hivi, anaonekana kukata tamaa, yupo chini ya role model wake lakini bado ku improve haswa anapokua karibu na goli, tofauti na mwenzie James, yeye kitendo cha kua kwenye kikosi cha Real Madrid, yupo tayari kukaa hata benchi ili abaki pale, so si ajabu Isco akaondoka akamwacha James..Isco is reportedly a major target for Juventus this summer as they prepare a €30m bid, according to football italia.
Kama ninaona mwisho wa Isco pale Bernabeu hivi, anaonekana kukata tamaa, yupo chini ya role model wake lakini bado ku improve haswa anapokua karibu na goli, tofauti na mwenzie James, yeye kitendo cha kua kwenye kikosi cha Real Madrid, yupo tayari kukaa hata benchi ili abaki pale, so si ajabu Isco akaondoka akamwacha James..
Kumbe ndivyo alivyo, nili nilidhani kua amechoka na amekata tamaa ya kuichezea Madrid, labda kwasababu anaona kama hathaminiwi, kumbe sio! Sasa sijui hata atasaidiwa vip yaani, anakila kitu cha kua mchezaji bora, ila ndio hivyo hajitumi ipasavyo, kwa kipaji alichonacho, alikua sio mtu wa kuwekwa benchi na James au Bale., anyway ndio hivyo tena. Ngoja tutaangalia maamuzi ya Zidane na jopo lake baada ya huu msimu kuishaSad kumuona Isco anaondoka Real Madrid hasa kwa vile yuko NT na kipenzi cha Wahispania wengi. Lakini the guy can't change ile ndio perfomance yake. Yuko very slow na hawezi kubadilika tena. Isco alikuwa anacheza Valencia, na kisa cha kurudi kwao Malaga ni uvivu. Valencia walishindwa kwasababu pamoja na kipaji alichonacho lakini hataki mabadiliko. Hajitumi kama pro anavyotakiwa.