Nimekuuliza nan kakuambia badala ya kujibu swali, unaleta b
Mbwenbwe, acha sigara ----- hizo zitakuharibu, kama huwez kuacha basi punguza kuvuta bhangi ndugu, asante kwa kusoma ujumbe,
Nimekuuliza nan kakuambia badala ya kujibu swali, unaleta b
Mbwenbwe, acha sigara ----- hizo zitakuharibu, kama huwez kuacha basi punguza kuvuta bhangi ndugu, asante kwa kusoma ujumbe,
Mechi ilikuwa open sana kwa wapenzi kutambua. No way madrid angepita.
Niseme kuwa carlo mbinu dhidi ya mabruda aliishiwa.
Bale anang'ang'aniwa sana sijui kwa nini. Mechi benzema alitakiwa amalize, kama ni chicharito kuingia basi bale ilibidi atoke.
No way asimuamini lucas. kwa viungo wa juve, kroos alihitaji mtu wa kusaidiana naye kazi. Kroos alichoka akawa anakaba mpira kwa macho. Huku isco anacheza mpira wa kitoto.
Ingawaje tumetoka, still ni madrid supporter till i die. Madrid klabu kubwa, hope itafanya maamuzi sahihi june kwa ajili ya klabu.