Ronaldo alimpelekea kipa mikononi penalt kabisa.
Kwanini siku moja wasicheze bila yeye.
Naona Chicha anajitahidi sana
Hili kombe ndio tumeliachia hivyo.
Uzembe wa Iker, Na Caro
Tuweke nguvu kwenye UEFA tuweke record kumtoa Juve na kuchukua mara ya 11 na mara ya 2 mfululizo