FloPe hakosagi hizi moments, wala za baloncesto wakifikaga final 4. Tena sometimes huwa anachukua nao pipa moja, na wanasafirishwa na same cabin crew iliyowapeleka Bayern, Lisbon, na Morocco.
Ni 4-4-2, Ramos anacheza middle na Marcelo yupo uwanjani. Next season lile bench libadilike sana, pale wakae watu ambao wakiingia wanaweza kubadilisha mchezo.