Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

First challenge ya Mourinho Spain ni kesho jioni. wanajuana na Diego Simeone vizuri sana. Metropolitano Stadium kesho itawaka. Camavinga, Bernardo, Guler SUSPENDED. tuangalie line-up ya Mourinho kesho, basi
 
Watu wa mourihno mnafanana na arteta kwa mbali

Sisi sio watu wa Mourinhoo bali ni Madridistas. Babu kapewa nafasi kufanya project yake let's see. I'm not even a fan of Jose but I Iove his caracters. Nyinyi wote mmesahau, Mourinho alimpa benchi Sergio Ramos halafu anashinda mechi zote. Bro, Mourinho ni full drama lakini ni genius. Kama unabisha angalia Diego anapigiwa mpira jioni hii
 
Rumours said Endrick to start but I don't believe it. Nafikiri Jude, Vini Jr na Kylian watakuwa kwenye attacking side.
Halafu kwenye defending sina wasiwasi na Mourinho, Mzee wa bus. Let's enjoy football guys
 
Kitu kinachonipa raha ni kuwa Barcelona hachek na kima 🤣🤣

Asante el cholo kunipigia Hawa kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…