Hii game ni ngumu kwasababu Betis hawataki kufunguka. Wote wanacheza deep, mashambulizi kidogo kisha wote wanarudi tena chini.
Pellegrini kawapigia kelele wamepanda dakika mbili wamerudi tena kukaba.
Kisaikolojia mpaka tuwapige kimono ndio mpira utabadilika