zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,880
- 36,755
Haahaaa eti? Jana wameshambulia mwanzo mwisho hakuna kupaki basi. Real ndio end of an era hiyo.Tunakawaida yakuanza kufungwa alaf tunaanza kupapatua nahii mijamaa yaleo ikikufunga inavyojua kupaki bas sasa
Haahaaa eti? Jana wameshambulia mwanzo mwisho hakuna kupaki basi. Real ndio end of an era hiyo.
Shida sio wachezaji shida ni kochi. Kocha anakjla mchezaji sisi hao kila game we concede, kwa mpira wa sahivi lazima timu ipende kukaa na mpira.
We kila timu tu struggle kudadeki
Acha ujingaYani kabisa unaamini kuwa wachezaji sio shida? striker tegemea wa timu ametokea Espanyola, Left back wa timu sijui hata ameokotwa wapi, Alaba alishaagwa Bayern ndio beki tegemeo wa timu, kuna Lord Mendi hazungumziki, Kroos na Modric ni senior citizens ambao bado wanaendelea kuwa tegemeo kwenye timu. Carvajal, MIlitao, Valverde, Rodrigo, team ni full of average players ambao munajidanganya ni world class, hapo hatujamgusa Jude ambae huwezi kumtaja hata kwenye 3 key players wa England lakini Madrid anaonekwanwa ndio Star Player.
Acha ujinga
Huyo militao ni maguire kabisaYani kabisa unaamini kuwa wachezaji sio shida? striker tegemea wa timu ametokea Espanyola, Left back wa timu sijui hata ameokotwa wapi, Alaba alishaagwa Bayern ndio beki tegemeo wa timu, kuna Lord Mendi hazungumziki, Kroos na Modric ni senior citizens ambao bado wanaendelea kuwa tegemeo kwenye timu. Carvajal, MIlitao, Valverde, Rodrigo, team ni full of average players ambao munajidanganya ni world class, hapo hatujamgusa Jude ambae huwezi kumtaja hata kwenye 3 key players wa England lakini Madrid anaonekwanwa ndio Star Player.
Acha ujinga
Kuna uwezekano tukaenda na Ancelloti mpaka msimu huu uishe, sioni tukifanya mabadiliko kati kati ya msimu.
Kama ni xabi hatuwezi enda naye katikati ya msimu ni hadi msimu uishe. Tuone ata prove nini na Leverkusen.
Ila hadi sasa confirmed ni msimu ujao tutakua na kocha mpya
Acha ujinga
hana atakacho prove Leverkusen, tayari ameshachemka kule
Man, utapoteza muda ma huyo jamaa, tuendeleze tu gurudumu la jukwaa letu manHivi mkuu huwa unaangalia mpira au unasoma kwenye gazeti, comments zako huwa zinachekesha sana