We spend way too much millions to be worried about few injuries. Si haki timu kubwa duniani kutetemeka kwa vitu vidogo, vete a la chingada Carlo Ancelotti
Isco yuko frustrated and disappointed, anajua hata acheze vipi atakaa bench tu watu wote wakiwa fit. James anaelekea kwenye kiwango kile cha Porto na World Cup
Isco yuko frustrated and disappointed, anajua hata acheze vipi atakaa bench tu watu wote wakiwa fit. James anaelekea kwenye kiwango kile cha Porto na World Cup
Haahahaaa..! Isco ni mchezaji mzuri, But kwa upande wangu anachonikera ni kuchelewesha moves kwa kupaka rangi sana mpira, na sometimes kuupaka rangi huko mpira kunamfanya sometimes awe dispossesed kitu ambacho sometimes huwa kinaicost timu kwani unakuta timu yote ipo mbele inashambulia, Ghafla yeye anapokonywa mpira, Guess what..! Disaster. James anacheza mpira wa ushindi anafanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.