Vijana wamecheza vizuri sana kipindi hiki cha pili., Camavinga anapiga beki ya kushoto na anajitahid kweli kweli.,
Ceballos aongezewe mkataba, Kijana ameimarika kiukweli.,
Vijana wamecheza vizuri sana kipindi hiki cha pili., Camavinga anapiga beki ya kushoto na anajitahid kweli kweli.,
Ceballos aongezewe mkataba, Kijana ameimarika kiukweli.,
Upande huo unamfaa, anajitahid sana, ila sasa sijamuona akicheza upande huo team ikiwa kwenye presha ya kushambuliwa., acha tuone huko mbeleni itakuwaje.,
Mendy amekuwa mzito kweli kweli., haeleweki kama anakaba ama anashambulia