Hukuna haja ya kuwa na wasi wasi wowote!! Ili uwe bingwa ni lazima ukutane na team bora na uzishinde, wote ambao tunaotarajia kukutananao, hakuna team ngeni kwetu!! Suala la msingi ni team icheze vizur tu. Hizo team unaozihofia na wenyewe wanatuhofia pia. HalaMadrid!!
You're secretly Real Madrid fan, but you probably don't know it even by yourself. Anyway with the game Real Madrid played with Valencia Barca atoki pale