Hiki ni kikosi cha miaka 10 Iliyopita (2009-2019)...
Figo + Beckham hawakuwepo.
Kaka + Casemiro watakaa namba ya nani hapo middle..? Kaka mpira kacheza AC MILAN sio REAL.. Casemiro amtoe Alonso kweli mkuu?
Safari hii Nazi tunafungwa hadi na mollorca bora el classico ilivyoahirisha tungeahibishwa aisee, Courtouis naona kama amekuja kutuhujumu japo beki yetu nayo haijatulia. By the way Halls Madrid.
Real Madrid XI :
Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Sergio
Ramos, Raphael Varane, Marcelo; Toni
Kroos, Casemiro, Fede Valverde; Rodrygo,
Karim Benzema, Eden Hazard
Ninachompendea Zidane ni udhubutu aliokuwa nao. Nimependa sana hili la kumpa Rodrygo nafasi, ngoja sasa tuone uwezo wa Dogo kwenye usiku wa Ulaya., #HalaMadrid
Ninachompendea Zidane ni udhubutu aliokuwa nao. Nimependa sana hili la kumpa Rodrygo nafasi, ngoja sasa tuone uwezo wa Dogo kwenye usiku wa Ulaya., #HalaMadrid
Dogo anajua sana aisee, ninapenda ana utulivu uwanjani, ni experience tu anakosa ila tumelamba dume kwa kumsajili huyu Dogo, ninadhan Vinicius anajifunza kwa Kijana mwenzie