Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

nitajie team ambayo haifungwi labda tuanzie hapo
 
Hii mechi haikuwa ya kufungwa kabisa. Yaani mbinu mbovu za kipindi cha pili na uamuzi usioeleweka ndio chanzo. Zizou watch out!!
 
Mimi kama mwanachama wa madrid hapa maduka tisa nawaombeni wenzangu tujitahidi kufanya uamzi mgumu wa kuweza kutoka madrid na kuhamia barca maana analolifanya kocha wa barca ndo sisi siku zote tulikua tunapigia kelele hasa messi amezidi sana ebu tuunge hizi juhudi za kocha wa barca jmn siyo dhambi
 

Bwi bwi bwi bwi bwi bwi bwi
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Kye kye kye kye kye kye kye
 
Real inahitaji kumtimua Ronaldo in order kurekebisha timu, bila ya ivo vipigo vitaendelea.
 
nitajie team ambayo haifungwi labda tuanzie hapo

INAWEZEKANA TUMEPISHANA KUELEWANA AMA KISWAHILI NILICHOTUMIA HAKIJANYOOKA LABDA...NILIVYOMAANISHA MIE KUFUNGWA HAPO NI KUPOTEZA MCHEZO(LOOSING A GAME) NA SIO KURUHUSU GOLI(CONCEDING A GOAL)...HIVYO INAJULIKANA WAZI KUWA HAKUNA TIMU AMBAYO HAIJAFUNGWA DUNIANI ILA ZIPO TIMU AMBAZO HAZIJAPOTEZA MCHEZO WOWOTE ULE IWE HOME OR AWAY HADI KUFIKIA NYAKATI HIZI ZA MSIMU WA 2017/2018) MAANA MAN-CITY NA BARCA IN EUROPE...THEY DIDN'T ADMIT ANY DEFEAT TILL NOW!!!...Usiponielewa na hapo tena bhasiii.
 
kma una lielewa hilo jua teams hua zina pitia transition period tumetoka kucheza World Cup juz tu hawa wenzetu walikua wame relax ni ngumu kufanya competition nao alf pia barca walipotea so wana pambana kurud kwenye form yao, kwel team hai perform kwa kiwango cha juu lkn Zizu bado ana umuhimu wake pale, Kwahio we una mtaka Wenger au Moyes?
 
Real inahitaji kumtimua Ronaldo in order kurekebisha timu, bila ya ivo vipigo vitaendelea.

Nakubaliana nawewe tena sio RONALDO TU...INAATAKIWA FORWARD LINE YETU KWA UJUMLA YANI BBC IPIGWE CHINI, Maana angalau asensio yupo vyema kwa ushambuliaji ila sio hao wengine...ila kwa CR7 ata kama anabakia labda kwa ile heshima yake pale real basi asiwe anaachwa DK.90 zote akiwa ndani...inatakiwa ikifika zile DK. za 50/60s hajafanya kitu ndani toa ingiza mbadala wake wakuaminika, kwa benzema tiyari nimeona madridistars mitandaoni jana wanashauri huyo jamaa arudishwe ata kwa mkopo kule LYON alipotokea, nitafurahi sana kuona nyuso za centre forwards kama HARRY KANE au MAURO ICARDI na winga kama IVAN PERISIC wakicheza na asensio pale mbele...muda umefika ile BBC Ivunjwe sasa maana Madrid ni moja ya club kubwa sana ulaya na duniani, pia ni dream almost ya kila mchezaji kuichezea kule Ulaya...hao walioridhika na mafanikio changia na umri wao wawekwe kando tu maana hakuna namna nyingine tena, alafu na zizou ajitafakari kubadili mbinu ikiwemo na kutumia mipira ya penetrations na through balls zaidi kuliko Crosses maana kama viungo wazuri madrid hatuna shida wapo pale...ile mipira ya cross siku izi haizai tena magoli kama zamani naona mabeki wengi wametambua namna ya kublock zile cross...hivyo tuwatumie zaidi viungo kuliko fullbacks na wingers kupandisha mashambulizi pia itakua sio mbaya viungo yani kroos na modric wakipewa mamlaka ya kufunga watakapoweza kama ilivyo kwa SILVA NA DE BRUYNE pale man-city na sio tu wakipata mipira lazima waanze kumtafuta Ronaldo yupo kona gani maana ikitokea forwards zetu zimebanwa movements zao tunakua na ugumu wa kupata ushindi.
 

Ni kweli unachokisema sijakataa ila nikuulize tu KWA HIYO KAMA TIMU NDO INAPITIA HIYO TRANSITION PERIOD NDO ASITAFUTWE MCHAWI NANI/TATIZO LIPO WAPI???...PIA TUIACHE TU TIMU ISITAFUTIWE UFUMBUZI KWA KUWA INAPITIA TRANSITION PERIOD???...Jibu sahihi hapo bila shaka ni HAPANA, hivyo lazima marekebisho yafanyike ili kuirudisha timu kwenye ubora wake na ndio maana fans wa madrid wanaongea na kusema ulipo UKAKASI NI WAPI NA NI MAREKEBISHO GANI YANAHITAJIKA KUFANYIKA NA SIO KUKAA KIMYA TU KISA ETI TIMU INAPITIA TRANSITION PERIOD, Plz! understand and it's not that bad if you cope with my Idea.
 

na sijamaanisha kuwa kama board ya madrid ikiona vyema kubadili manager...eti ndo imlete wenger au moyes, kwa maono yangu mie MAURCIO POCHETINO atapendeza zaidi...yule jamaa ameitoa mbali SPURS na anauwezo wa kupick wachezaji wa Middle-class na akaleta mafanikio/matokeo chanya kwenye Club, ni hayo tu ndugu!
 
January hii apa tuna fanya usajiri tuna fukia mapengo mwendo mdundo ktk miaka zaid ya kumi hatuja wahi kua na team bora zaidi ya hii Benz asepe zake ila kwa Zizu bado cja kubaliana na ww makosa mengine cio ya coach ni mchezaji binafisi na bahati pia jana tume gonga besela mara tatu kumbuka
 
Nani alikuwa karelax??????!!!!!!!
La liga na deportivo walicheza Madrid castilla eti??????
Umekutana na timu nyanya huko cjui wp unatupigia kelele?? Jana ndo umeanza kukutana na wanaume.
Halafu usipende kujificha migongoni mwa makocha au timu za watu, Wenger , Moyes wameingiaje tena humu???????
Madridiots pambaneni na hali zenu
 
Nyie wa hapa hapa tu kma wale wa team flan apa Tz
 
Alaafu hawa Madrid bana,hivi huu mpira wa man to man marking si umepitwa na wakati?
 

siongei kwa ubaya/negativity maana madrid ni timu yangu ila nachoweza kusema ni kuwa HUIJUI VYEMA madrid kwenye swala la managers kama ni kuijenga timu angeachwa Ancelotti ambaye hadi bayern waliona anawafaa kuliko sisi na wakamchukua msimu uliofuata...maana nionavyo mie timu kama madrid, barca na bayern munich ata wewe ukipewa na ukiweza kuwajaza spirit ya ushindi wale wachezaji na wakaendana nayo vyema bhasiii umefaulu na watabeba vikombe utakavyo wewe...zizou yani ZIDANE ameleta kitu kikubwa pale Madrid ila sio cha tofauti sana hadi ifikie stage hiyo ya kutochomolewa pale Real.
 
Kwa kometi zako tu inaonekana kuna ki2 unakimiss ktk ubongo wako
Nakuona unaambiwa hivi unajibu vile
Have a nice day
Pambana na hali yako mama, kwn team yako haina thread JF? kinacho kuleta huku n nn.
 
Alaafu hawa Madrid bana,hivi huu mpira wa man to man marking si umepitwa na wakati?
Mbinu zimewaishia!!!!!!
Hii man to man marking mara ya mwisho cjui niliona inatumika wapi
Huu ni uoga wa hali ya juu

Hawa majamaa wanasingizia wamechoka eti mechi nyingi!!!! Mechi nyingi zipi hizo walizocheza?? Last season uefa tumeshiriki wote,la liga hata copa der ley walilotolewa asubuhi kbs
Haya walifika fainali ,mbona juve hajateteleka bado??? Au yeye aliruka tu akakutana nao????

Madridiots hawataki kukubali ukweli kuwa this season washakabwa koo.Timu zishawasoma na makrosi yao
Eti wanalalamika wanataka kunyanyua kwapa!!!!!!
MADRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…