Tetesi
Real licha ya kuhusishwa na mchezaji wa Manchester United David de Gea, pia wanarajiwa kumsaini kipa wa Athletic Bilbao Kepa Arrizabalaga, 23 mwezi Januari. (Marca)
Tetesi
Real licha ya kuhusishwa na mchezaji wa Manchester United David de Gea, pia wanarajiwa kumsaini kipa wa Athletic Bilbao Kepa Arrizabalaga, 23 mwezi Januari. (Marca)
Hamna mashindano ambayo huwa ninaiamini hii timu kama mashindano ya UEFA hawa wachezaji huwa hawataki kabisa kuharibu rekodi, na sitastaajabu wakifanya kile ambacho watu wengi hawaamini kinawezekana. Kama PSG juzi wamepigwa na Bayern tungoje wakati
PSG so far wamecheza na mediocre farmers wa League 1, Real Madrid ni top class team msimu huu tunapiga Wakatalani na hao PSG wenu. Nyinyi troll wa humu kumbukeni game yenu na Chelsea sio masihara, mtapigwa ndio tutapumzika humu.
Real Madrid wanajiamini kuwa watampata mlinda mlango wa Tottenham Hugo Lloris, kwa mujibu wa Sunday People .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anatamani kushinda mataji, na Spurs wamekuwa na wakati mgumu kwenye ligi ya Uingereza msimu huu, Blancos wanaamini watamshawishi.
Bado wanatamani kumsajili David de Gea na Thibaut Courtois lakini sasa wanaweza kumgeuzia usikivu Lloris.
Real Madrid wameanza mazungumzo kuhusu kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar majira ya joto 2018, kwa mujibu wa OK Diario .
Blancos walikuwa wanatarajiwa kusubiri miaka miwili kabla ya kuanza mchakato wa dili lamchezaji huyo, lakini sasa wapo tayari kutoa €222m ambayo PSG waliilipa Barcelona.