$320 sio mbaya for El classico and the game is entertaining, has pace and goals. 13k itakua VIPMkuu umeona bei ya tickets lakini? Kihalali ni $320 mpaka $4,000, lakini ninachoona Twitter kuna watu wamenunua tickets kwa $13.000. It's crazy
Magoli laini sana na pia bado barca wangekuwa makini tungekua tumekula 4 halafu benzema pana nafasi badala ya kutoa pasi kapiga nje so far marekebisho yanahitajika back line yetu haipo makini.Defense yetu ilikuwa ovyo hata kwenye last season. Msimu huu tunategemea hizi new signings mbili may be zitabadilisha mchezo
$320 sio mbaya for El classico and the game is entertaining, has pace and goals. 13k itakua VIP
DuSure $320 worth it. VIP ni $4,000. Ila wanasema tickets ziliuzwa mpaka $13,000 last minutes kwenye black market