Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Huyo Dogo atulie kwanza huko Monaco, kwasasa Real Madrid hataweza kucheza labda akacheze Castilla au anunuliwe then atolewe kwa mkopo.Fabinho (Monaco): "Sooner or later, Mbappe will end up at Real Madrid."
Jaman hebu mnisaidie
Hazard anakuja kucheza nafas ya nan pale Madrid?
HahahaAnakuja kuuza jezi. Can be technical or economical reason, who knows.
Hahaha
Labda zidane ata badilisha mfumo ili ku m accomodate na yeye
Mkuu wew acha tu, mwenyew ninashindwa kuelewa, sababu sioni James ama Isco akiondoka msimu huu, Ninadhan Zidane atafanya maamuzi sahahi, pale anahitajika golikipa na mbadala wa Marcelo basi.Jaman hebu mnisaidie
Hazard anakuja kucheza nafas ya nan pale Madrid?
Washindwe kabisa, Asensio yupo pale kwasababu, bado anaendelea kujifunza wakati ukifika atapata nafasi anayostahili. Hatuwezi kuuza silaha ya maangamiz kwa adui.Juventus join the queue for Real Madrid's Asensio. Arsenal, Manchester United and Chelsea are also keeping an eye on the midfielder. [AS]
Hala real Madridnasikia mmetimiza miaka 115 toka mmeanzishwa. hongereni kwa kuishi miaka hiyo yote bila kushuka daraja na kupata vikombe vingi.