Investment ya nyumba return yake ni ya muda mrefu, usitarajie pesa yako uliowekeza itarudi mapema halafu uanze kula faida. Hata mashirika kama nsssf hayo maghorofa wanajenga ya bei mbaya huwa wanapiga hesabu za mbali sana kwenye return ya investment na kuanza kula profit.Kupangisha si inachukua muda mrefu kurudisha pea?
Return inapokuwa slow ina athari gani kwenye ukuaji wa biasharaInvestment ya nyumba return yake ni ya muda mrefu, usitarajie pesa yako uliowekeza itarudi mapema halafu uanze kula faida. Hata mashirika kama nsssf hayo maghorofa wanajenga ya bei mbaya huwa wanapiga hesabu za mbali sana kwenye return ya investment na kuanza kula profit.
Nina rafiki yangu yupo mombasa bado kijana tu ila anamiliki nyumba saba ambazo zimekamilika na zote zimejaa wapangaji. Kwa mwezi anakusanya kama m5 ya tz Kwa sababu rent ipo Chini na pia viwanja na gharama za ujenzi zipo Chini sio kama Nairobi.
Nimejifunza kitu kimoja kwake kuwa sekta ya nyumba ni stress free business na pesa yake haina msimu, pia kila siku watu wana hamia mijini na watahitaji makazi. Kwa kile kidogo ulichonacho utaweza anza taratibu. Kama wewe ni mfanyabiashara biashara usimege pesa yako ya mtaji kujenga nyumba kwani utafilisika bali tumia pesa ambayo haita athiri biashara yako kabisa kujengea.
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
Nimeipenda hii, imenipa tena mwanga mwingine, asante kwa mchango wakoHii sector inahitaji akili zaidi kuliko pesa. Akili ya kuangalia value ya kiwanja, nyumba au frem ya biashara kwa miaka kama mitano au kumi ijayo.So real estate ni mentality zaidi kuliko pesa
Kabla haujaamua ku invest... Ungekutana na huyu mtu aliyesomea REAL ESTATE FINANCE AND INVESTMENT akakupa ushauri wa kiufund zaid itakuwa vizur sana.... Achana na habar za watu wanaojibu kimazoe. Aina hii ya investment haina mchezo inatumia mtaji mkubwa sana so inabid kuwa makin ktk kuinvest
e ninaowafaham still bado ni wanafunza wanasoma ila wanaweza wakatoa msaadaHujatoa contacts zake mkuu, umesema huyu tu..
Kabla haujaamua ku invest... Ungekutana na huyu mtu aliyesomea REAL ESTATE FINANCE AND INVESTMENT akakupa ushauri wa kiufund zaid itakuwa vizur sana.... Achana na habar za watu wanaojibu kimazoe. Aina hii ya investment haina mchezo inatumia mtaji mkubwa sana so inabid kuwa makin ktk kuinvest
Uzoefu bila taaluma ni bure ndugu....Wengi waliosoma hawajui kitu gani kinaendelea kwenye market.kwahyo kwa uzoefu wa mtaani mzuri zaid
when bro?TANZANIA'S BEST REAL ESTATE EXHIBITION
"Book your space"
mimi nimefungua real estate natafuta shareholders au mbia kwa ajili kupanua wigo wa biasharaWakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
Angalau uwe na nyumba kama tatu ivi za maana. Angalau alafu ziwepo sehemu muhimu kidogo ambapo watu wengi wanapenda kama karibia na soko, barabara Kuu na huduma za kijamii. Ni biashara ya pesa mingiMtaji kiasi gani? Be specific ili muuliza swali apate complete answers
Yah ni kweli kabisa mkuufrom 4 bilions tzs kwa mtu mwenye mtaji mdogo
Inategemea na sehemu nyumba ilipoKupangisha si inachukua muda mrefu kurudisha pesa?
Nimekosea kidogoInategemea na sehemu nyumba ilipo
Mfano, mimi nipo apa Magomeni. Mahitaji ya nyumba ni mkubwa sana kwa iyo ukiwa na nyumba nzuri kupangisha chumba na sebure ukosi Tshs 350,000 kwa mwezi. Sasa zidisha Mara 12.
350,000*12=420,000
Ujenzi wa chumba na sebure ni kama 3,500,000 ambacho ni starndards kwa apa magomeni ambayo tayari kwa mwaka mmoja tayari pesa yako isharudi