Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Kivipi I see?Saivi kuna full amount
Toka corona imeanza upatikani wa material kutoka nje za nchi umekuwa wa taabu. Kwa vinavyopatikana ndani wapo ontime ndio kama hayo manguzo.
wakandarasi walikuwa tayari wana stock kubwa tu ya materialMbona mwaka jana Corona ilikuwrpo lkn hali haikuwa hivi?
wakandarasi walikuwa tayari wana stock kubwa tu ya material
Kuna material wanachukua ndani na kuna material wanachukua nje, material ndani pia yamependa sana bei wengi wao wanaagiza nje. Viongozi wa ngazi za mikoa huwa wana majibu ila mahusiano ( mawasiliano ), ila pia wapo wakandarasi wazembe ambao ni tatizo la miradi kuchelewaBasi sababu hizo wawaambie wananchi wajue, kimya kinakuwa kingi kiasi cha wananchi kutokujua kinachoendelea. Lkn mbona materials nyingi zinatengenezwa hapa nchini!?
kama zipi ? nyingi hutoka nje, uturuki, south africa,zinatengenezwa hapa nchini!?
Nadhani hiyo sababu ya mwisho inaweza kuwa na mchango mkubwa, maana kuna maeneo/kanda ambapo shida hizi hazipo hivo.....Kuna material wanachukua ndani na kuna material wanachukua nje, material ndani pia yamependa sana bei wengi wao wanaagiza nje. Viongozi wa ngazi za mikoa huwa wana majibu ila mahusiano ( mawasiliano ), ila pia wapo wakandarasi wazembe ambao ni tatizo la miradi kuchelewa
Maneno kuwa Magufuli ni dikteta yalitawala sana kipindi cha uhai wake.
Namuomba Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
taja hayo maeneo mkuu yenye changakoto maana wapo hukuNadhani hiyo sababu ya mwisho inaweza kuwa na mchango mkubwa, maana kuna maeneo/kanda ambapo shida hizi hazipo hivo.....
taja hayo maeneo mkuu yenye changakoto maana wapo huku
Watafanyia kazi mkuu, na uzuri wanapita humuKanda ya ziwa hususani wilaya ya Kahama na halmashauri zake(halmashauri ya Msalala) na Maeneo kadhaa ya Buswelu, Ilemela jijini Mwanza
Kanda ya ziwa hususani wilaya ya Kahama na halmashauri zake(halmashauri ya Msalala) na Maeneo kadhaa ya Buswelu, Ilemela jijini MwanzaMtetezi wa wanyonge ameshaondoka sasa hivi hata ukisema kazi bure tu hakuna anaekusikiliza
Kwa kweli...Mtetezi wa wanyonge ameshaondoka sasa hivi hata ukisema kazi bure tu hakuna anaekusikiliza