Mbongo kama kawaida, kachemsha mpaka aibu, angalia part 6 jamaa ka cease.
PhD candidate huyu hata communication skills tatizo. Unaona kabisa hata Mtaliano ana struggle kujieleza kwani lugha si yake, lakini mbongo ka cease kabisa, halafu ukikaa naye karibu unaweza kupata mbata, anarusha mikono huyo.
Jamaa atapata PhD yake lakini.