M MWEME Member Joined Dec 3, 2010 Posts 6 Reaction score 0 Dec 8, 2010 #1 CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry:
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 24,150 Reaction score 56,461 Dec 8, 2010 #2 MWEME said: CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry: Click to expand... Hiyo ni hasira suluhu huwa haiji kwa kukataa kuongea na adui, kama wangefuata ushauri wako nafikiri leo dunia ingekuwa uwanja wa fujo.
MWEME said: CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry: Click to expand... Hiyo ni hasira suluhu huwa haiji kwa kukataa kuongea na adui, kama wangefuata ushauri wako nafikiri leo dunia ingekuwa uwanja wa fujo.
U Uwezo Tunao JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 6,942 Reaction score 1,199 Dec 8, 2010 #3 Kuhusiana na swala zito la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA zungumzeni hata na SHETANI MWENYE VICHWA SABA alimradi lengo la wananchi halipati kupindishwa hata tone. Endeleeni ...
Kuhusiana na swala zito la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA zungumzeni hata na SHETANI MWENYE VICHWA SABA alimradi lengo la wananchi halipati kupindishwa hata tone. Endeleeni ...