1974hrs JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 740 Reaction score 536 Mar 14, 2016 #1 Atakayeleta fujo na huku ameambiwa asilete fujo atachapwa tu!na mimi nasema wachapwe tu maana hamna namna
Atakayeleta fujo na huku ameambiwa asilete fujo atachapwa tu!na mimi nasema wachapwe tu maana hamna namna
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Mar 15, 2016 #2 tatizo ni siku mchapa akianza kula kichapo
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,636 Mar 15, 2016 #3 Sasa hiyo ni machine ya nini? au ya kupima kiwango cha hasira?