chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,115
...Alimtuma MWAKILISHI wake. Ni yule ALIYEZUIA matumizi ya Uwanja wa mashujaa kumwaga SHUJAA Ndessa!Ukaahidi kuwa ungekuja au kutuma Mwakilishi kwa shughuli ya kuaga jana. Hukufanya hivyo.
Hukutaka kusikia au na ww umechukia?majitu mazima akili za kitoto mkielezwa juu ya kula lambilambi za watu mnakasilika lkn pia mkibanwa juu ya kushika lambilambi hamji vilioni nn maana yake majizi makubwa nyinyi.Sasa mambo yake na yako unatuletea sisi humu ya nini?
Piga chini au kaushaSasa mambo yake na yako unatuletea sisi humu ya nini?
Umeandika pande hiziKwani nimekuuliza wewe?
Acha jazba mkuu,Sasa mambo yake na yako unatuletea sisi humu ya nini?
La kolomije hiloHukutaka kusikia au na ww umechukia?majitu mazima akili za kitoto mkielezwa juu ya kula lambilambi za watu mnakasilika lkn pia mkibanwa juu ya kushika lambilambi hamji vilioni nn maana yake majizi makubwa nyinyi.
Gambo na CCM wana wivu hadi wa msiba yani nao wanatamani wafiwe.
Kama sio uchawi huu ni nini?
Yaani hawa jamaa haziwatoshi. Kafariki Mh. Ndesa wao wanajadili rambirambi hadi wanakasirikiana.Sasa mambo yake na yako unatuletea sisi humu ya nini?