RC Gambo, kumbe ulikasirika kweli?

hahahahah rambirambi za kilimanjaro tumeziona zikitumika effectivelly kwwnye mazishi ya mzee Ndesamburo kiasi kwamba hatuna haja ya kuhoji....
heko kwa CDM
 
Gambo na CCM wana wivu hadi wa msiba yani nao wanatamani wafiwe.

Kama sio uchawi huu ni nini?
 
Back
Top Bottom