Sawa ngoja tukaioneNgoma kali ni Moni ft Jux- My Life.
Icheck halafu uniambie
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ni motooo..Kula siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd awe anatupa kama bonus track ...
Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director mzava mnyama.
Sema Simba wa Tandale naye katupia KAMATA video, daah wacha nikamalizie bando langu
View attachment 1834553
Kachukua King KibaSadala naskia kachukua BET?
Nipo sana mkuu wangu, tunapishana tu majukwaaMkuu unapotea sana