Raymond Reddington, Professor, Michael Schofield nani Genius?

Wote hapo waongo waongo hamna uhalisia
.. Kifupi hamna anayemfikia Mr White wa Breaking Bad
 
I TRUST YOU BUT MY GUN DOESN'T
Raymond Redington

Kwa upande wangu kura inakwenda kwa Michael, anatumia akili sana na huwezi predict nini kinafuatia kwenye kipengele husika
 
Kutoka jela huitaji akili, unahitaji pesa kuhonga mapolisi na utaachiwa bila shida.

Mziki upo kwenye kuvunja benku kuu ya taifa, jua naongelea benki kuu sio NMB au CRDB!!

Hivi unadhani kuvunja benki kuu inayo lindwa na makomando wa jeshi ni akili ndogo hiyo?

Acha utan kijana, profesa yuko juu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida huwa naangalia series kivivu.
Redington nampa namba moja kwa sababu ya uvaaji wa uhalisia, na matukio yake yanafanana sana na maisha halisi,pia hakwenda jela...kama ingekuwa personality inaweza kuwa adapted,mi ningependa kuwa kama huyu jamaa.
Prof nampa namba mbili kwa sababu ya akili aliyotumia, na malengo yake ya kutajirika,personality ya Professor pia iko fresh.
Michael ni mkali pia,lakini katika hiyo series matukio mengine ni yako too superhuman kama katika kupigana na watu wengi.Personality ya Michael katika 24 hainivutii...na hii ilikuwa kabla ya kujua ni shoga kiuhalisia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…