Mambo yake yapo kiuhalisia zaidiRaymond Reddington 'Red' sio genius ilanimtu mwenye mipango mingi sana anajua kucheza na maneno na akili za watu maranyingi anatumia weekness za watu kufanikisha mambo yake na anamikwara mingi sana. 😂 na mkubali sana huyu mzee ni mafia hatari 🔥
Nimeangilia series nyingi sana lakini bado sijapata kuona villain wa hivi balaa la huyu mzee 🔥 kitu gani hajui kwenye huu ulimwengu na taarifa gani unakosa kwake Google ikasome anasumbua FBI nk... 😂😂😂 Anawafanya kama watoto bhana afanyagi mission isionafaida kwake kila anachofanya ananufaika nacho hafanyi kazi ya kanisa huyu mzee 😂😂😂.Mambo yake yapo kiuhalisia zaidi
Kuna wale Wana WA kaboul walimkimbiza sanaHaoo wote uliowataja kuna wakati walipewa kibano mpaka wakataka kusurrender ila Raymond Reddington "Red" Hana weakness
Weakness yake Elizabeth tu.Haoo wote uliowataja kuna wakati walipewa kibano mpaka wakataka kusurrender ila Raymond Reddington "Red" Hana weakness
Weakness yake Elizabeth tu.
Daaa Reymondiiiiiiiiiiiiiiiii 100% huyu jamaa namwelewa xana yaan hata series yake sijamaliza anayejua link ya kudownload naomba
Unampenda mwanaume mwenzio?Raymond Reddington 'Red' 😂 nampenda Sana sana huyu mwanaume, nipo tayari kwa lolote ni mafia hatari 🔥
Dembe & Lizzy hawa ndio watu ambao Red yupo tayari kufanya lolote kwajili yao lakini bila hawa Red angekuwa undefeated kwa yeyote [emoji119].Kwa Elizaberth yuko tayari kufanya lolote
Kwenye mastermind hapo weka 1000% sio 100% ukipigiwa simu tu ukisikia sauti huyu ni Red [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima utetemeke.Raymond Reddington anaweza kukusababisha utamani kuwa muhalifu, jamaa ni Mastermind hatari sana, alafu ana sauti moja amazing sana yenye mamlaka, hana mapepe na anaona mbele mara 100. Mtu hatari sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums