Selling my Rav4, beautiful car and Mint condition, ni gari ya UK, manual, has no problem, at least major maana hii ni machine, but its beautiful and drives nicely, tinted glasses, dark green metallic, imewekwa rain viz, , spare tyre, stereo, A/C , vvti, its a nice car, am only selling it because am about to travel and need the cash. Only disposing it for 20million tsh, which if you the car you will agree its a bargain.
please contact me on 0685646786 kwa maelezo zaidi au mazungumzo, napatikana kigamboni, view by appointment, wote mnakaribishwa, serious offers only.
utasubir sna kwa hyo bei na lugha ulio tumia
Mileage ni 94k na pic sina hapa labda on whatsapp kwa bahati mbaya, ila hiyo bei ndg yangu nimeshindwa, samahani lakini kaka, maana kama alivosema mmoja hapa, ni 2004 na imelipiwa ushuru, watu wanuza ya 1999 kwa 16 m, sasa hii si utaniua kakanguMkuu weka picha zaidi, cc, mileage na ukishaweka hivyo kuna 10mil hapa inakusubiri
twende mbele turudi nyuma hiyo sio bei za rav 4....acheni kumpa kichwa... watu wanauza VX ya mwaka 98.kwa bei hiyo...sio rav 4
Bei yake ni ngapi ???
Mkuu bei za hizi gari ..ni mil 15 au 16..ila nenda Yard za pale mikocheni ..upande wa victoria..zipo za mil 14
Its true maneno yako Lucky ni kwa vile labda watu wanaona bei iko juu, lakini gari ni nzuri sana na ni bei reasonable kwa kuzingatia kwa sasa kulitoa bandarini utalia, ushuru uko juu, plus mimi sijakataa mazungumzo, so usirukie tu kusema hii ni fixed price, kwa waliokuwa serious mbona washanicontact zamani, na kama wako wengine sikatai kuja kuiona na kuzungumza ukiwa umeipenda, ni hayo tu ahsanteni sanaNi manual ??au auto ??tunaomba link ata kwa Japan au Dubai kama unawezakupata manual ya 2004 plus ushuru kwa hiyo bei.Kaka ni umasikini tu lakini hilo gari kwa 20ml ni bei ndogo.
selling my rav4, beautiful car and mint condition, ni gari ya uk, manual, has no problem, at least major maana hii ni machine, but its beautiful and drives nicely, tinted glasses, dark green metallic, imewekwa rain viz, , spare tyre, stereo, a/c , vvti, its a nice car, am only selling it because am about to travel and need the cash. Only disposing it for 20million tsh, which if you the car you will agree its a bargain.
Please contact me on 0685646786 kwa maelezo zaidi au mazungumzo, napatikana kigamboni, view by appointment, wote mnakaribishwa, serious offers only.