Imetembea-km 70000
Bei -14.5 milion
Transmission -manual
Engen type-vvti ya juu
Ac na vitu vitu vingine viko vizuri sana
Gari iko dar kwa mawasiliano zaidi 0715591141
Manual ndiyo ina bei kuliko Auto mkuu,ata ukiagiza Japan wafanyabiashara wengi wanabadili Auto kwenda Manual ili wapate faida.Manual original kuipata ni kazi na ni expensive. Hivyo kwa bei hiyo (kama ni Original Manual)ni sawa kabisa