Rav 4 inauzwa bei sawa na bure

Mkuu kwa hiyo namba inavyoonekana nina wasiwasi itakuwa imekula MILEAGE Nyingi sana hiyo...!
Umeona ee, check plate namba zinavyo ninginia, hii kweli sio second hand ni third hand. alafu rangi kama vile repainted. Alafu ukiangalia kwa haraka kama vile mlango wa nyuma mbovu au umetumika sana kubebea mizigo. Alafu hizo tires zake vipi, zafaa kwa mjini kweli? Alafu hiyo tinted glass yake mbona inaonyesha mpaka abiria ndani? by the way ndo shi ngapi vile? although its good for emergency use.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…