Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,193 Reaction score 9,883 Nov 21, 2022 #2 Unauza Bima ama unauza gari! Hakuna details muhimu, sijui imetembea km laki 3! Sijui ni model ya mwaka 1980! Alafu anatuambia haijaguswa popote! Hiyo ni urembo. Mimi24 said: Habari wakuu nipo na hii Raum ya cc1400, Bima (Comprehensive), Reg,No(DZU) , haijaguswa popote na mpya sana…nauza kwa Tsh 12.5M . Location Dar-es-Salaam . Mawasiliano:- 0769463336 View attachment 2421570 View attachment 2421572 View attachment 2421573 Click to expand...
Unauza Bima ama unauza gari! Hakuna details muhimu, sijui imetembea km laki 3! Sijui ni model ya mwaka 1980! Alafu anatuambia haijaguswa popote! Hiyo ni urembo. Mimi24 said: Habari wakuu nipo na hii Raum ya cc1400, Bima (Comprehensive), Reg,No(DZU) , haijaguswa popote na mpya sana…nauza kwa Tsh 12.5M . Location Dar-es-Salaam . Mawasiliano:- 0769463336 View attachment 2421570 View attachment 2421572 View attachment 2421573 Click to expand...
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,477 Reaction score 3,641 Nov 21, 2022 #3 Raum bado mbichi kabisa
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,048 Nov 21, 2022 #4 Ikifika 9 nalipa
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,126 Reaction score 10,306 Nov 21, 2022 #5 Kachombo kazuri kwa misele