Gari liko katika hali nzuri, lina AC, Radio, tyres ni mpya,
Model = Raum
Engine type = GF-EXZ10 (HAIJAGUSWA KIVYOVYOTE)
Gari haina dalali, mimi ndio mmiliki wa kwanza
Gari lilinunuliwa moja kwa moja kutoka JAPAN
Engine Capacity 1490
Mwaka wa kutengeneza 2002
Bei ni Tshs 6,000,000/=
Namba CJQ maana yake umeiburuza hapa nchini kwa zaidi ya miaka 12,kwa bei ya Milioni 6 ni zaidi ya UJAMBAZI hata sisi Wasukuma mnaotuita Washamba hauwezi kutupata kwa bei hiyo labda uwapate WAHAZABE,Bei halali kwa hiyo namba CJQ ni Milioni 4