Ratiba ya kazi ya TCU

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
429
Habari wadau,

Naombemi mwenye kujua ratiba ya TCU siku ya jumamosi kama wanafungua office

Je kama wanafungua mwisho saa ngapi
 
mwenye kujua hili naomba anisaidie
 
Habari wadau,

Naombemi mwenye kujua ratiba ya TCU siku ya jumamosi kama wanafungua office

Je kama wanafungua mwisho saa ngapi
Wale walivyo wavivu wavivu sidhani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…