G Gwaks makono Senior Member Joined Aug 27, 2011 Posts 109 Reaction score 16 Apr 23, 2012 #1 samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp???
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Apr 23, 2012 #2 Gwaks makono said: samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp??? Click to expand... Naona wabunge wanachangia juu ya hoja kuhusu wizara ya maliasili na utalii. Wanajikita katika taarifa ya utoroshwaji wa wanyamapori. Bila shaka baada ya kuhitimisha hoja hii ndipo PM atahutubia kuahirisha bunge.
Gwaks makono said: samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp??? Click to expand... Naona wabunge wanachangia juu ya hoja kuhusu wizara ya maliasili na utalii. Wanajikita katika taarifa ya utoroshwaji wa wanyamapori. Bila shaka baada ya kuhitimisha hoja hii ndipo PM atahutubia kuahirisha bunge.