Rasmi:Okwi ni mali ya Simba SC

Huyo hata kiwango kikishuka, ilimradi tu awepo uwanjani.....maana kuna timu fulani wanapenda sana kutembeza bakuli wakisikia hilo jina wanaanza kutetemeka!
 
Afrika bado tuna kazi kubwa katika udanganyifu. Okwi ameanza kucheza ligi kuu kwa 2009 na kaja Simba 2010 akionekana kijeba kabisa. Ina maana alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 17?
 
Afrika bado tuna kazi kubwa katika udanganyifu. Okwi ameanza kucheza ligi kuu kwa 2009 na kaja Simba 2010 akionekana kijeba kabisa. Ina maana alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 17?
Ingawa mimi ni mwanachama wa Simba lakini siafiki kabisa usajili wa Okwi. Ana kipi kipya? Ameshachoka na kitabia ana usumbufu sana. Kwa ujumla huu ni mzigo tunaotaka kujitwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…