Wakuu,
Kile kikundi kinachojiita UKAWA kimekuwa kikidai mara kwa mara kuwa CCM wana Rasimu yao mbali na ile ya Warioba, naomba mwana-UKAWA, mshabiki yeyote wa UKAWA au mtu yeyote atuwekee hiyo Rasimu, otherwise tutawahesabu kuwa ni waongo na wazushi wakubwa pamoja na "usomi" walionao!
Tokea umefukuzwa kazi hapa jf kama moderator umekuwa kama mwehuWakuu,
Kile kikundi kinachojiita UKAWA kimekuwa kikidai mara kwa mara kuwa CCM wana Rasimu yao mbali na ile ya Warioba, naomba mwana-UKAWA, mshabiki yeyote wa UKAWA au mtu yeyote atuwekee hiyo Rasimu, otherwise tutawahesabu kuwa ni waongo na wazushi wakubwa pamoja na "usomi" walionao!
Hii hapa
Rasimu ya Warioba imepe
ndekeza serikali tatu na muundo wa muungano wa shirikisho
Rasimu ya ccm serikali 2 nchi moja isiyo na muundo wa shirikisho.
Ndio maana wakajadili sura ya 1 na 6 ili kubadili muundo mzima wa rasimu ya warioba na kuingiza ile ya ccm.
Huu ndio moyo wa rasimu hizi mbili.
Hii ndio breaking news kapuku we!
Mkuu,Hivi watu wangine ni wendawazimu nini.unataka uletewe rasimu ya ccm.kwani ccm kulazimisha kujadiliwa kwa serekali mbili.hio iko kwenye rasim ipi?rasim ilio mbele yao ni ya serekali moja au tatu.huoni hio ya mbili ni yao ccm?
Mkuu,
Unajua maana ya "Rasimu?"
Kwa hiyo ccm watajadili rasimu ya warioba iliopendekezwa na wananchi?