Rasilimali ni neno pana lenye maana na tafsiri nyingi .sana..katika ulimwengu wa Leo .ili uweze kujikwamua kwa namna yoyote ile ..kielimu,kitamaduni ,kiuchumi na nyanja mbali mbali lazima uwe na rasilimali....
Katika bara LA Africa hususani Africa mashariki (Tanzania)
Tumekua watu wa kulaumu sana kuliko kutekeleza ..kila kitu ambacho tunaona hakiendi sawa hatukitafutii ufumbuzi badala yake tunaachia lawama serikali na mamlaka nyingine
Lakini kila mmoja akijaribu kujifanyia tasmini ataweza kupata ufumbuzi ni wapi tunakwama
Kila binadamu ana rasilimali ndani na nje .tatizo tumetofautiana tuu namna ya kuzitumia
Kwa mfano mda ni rasilimali ambayo kila MTU anayo,na iko sawa kwa kila binadamu .lisaa limoja la ulaya ni sawa na lisaa limoja la Africa .hvyo hvyo kila MTU ndani yake ana uwezo wa kipekee wa kufanya mabadiliko ya maisha yake na akafanikiwa kimaisha
Tatizo tumetofautiana tuu namna ya kutumia rasilimali zetu
Rasilimali