Wekeni hapa audio hata audio 2 tuenjoi 😎🙄Habari zenu wakuu
Nimekua nikifwatilia muziki zaid ya miaka 20
Ila toka nianze kusikiliza nyimbo za huyu jamaa juice WRLD nikwamba nimekua addicted na nyimbo zake nina nyimbo zake zaid ya 1000 released na unreleased
Nyimbo zake hunipa furaa sana na pia atanikiwa kwenye depression nikiingia kwenye playlist tu hua najiskia vizuri sana .. hua hazipiti siku 3 bila ku download ngoma yake yoyote I think nitafika adi kwenye nyimbo 2000 kama wengine
kunawimbo wake unaitwa BEEN MYSELF ni unreleased nikifa nais inatakiwa wau play ili kuakikisha kweli nimekufa au lah. maana nikiu play tu kichwa changu hukaa sawa.
R I P juice WRLD 999 forever [emoji885]View attachment 2712721
Nishawahi kuja na uzi wake humuBruh [emoji23] wew kama mimi kabisa I thought niko mwenyew yan I can’t go a day without his music
Kwa wewe sikiliza hiiWekeni hapa audio hata audio 2 tuenjoi 😎🙄
unazipatia site ipi aseeLucid dreams ata mimi naikubali ila sikuizi nipo kweny unreleased yani kuna ngoma kali sana
Nishawahi kuja na uzi wake humu
Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD
Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...www.jamiiforums.com