Hili Range Rover Velar linachukua nafasi ya Defender kwenye soko na model yake ya 4X4.
Hili gari linatumia pia mfuno wa gia nane za automatic.
Ukiwa unaendesha hili gari khasa unapotumia matairi yote manne , una uwezo wa kuona picha kwenye kioo za jinsi gari invyoshughulika kuhakikisha linakufikisha unakokwenda.
Ila bado halijalifikia "legend" mwenyewe, LandRover Discovery ambae bado anatawala soko.
kwa ubora upi mnaozungumzia? mana reliability ya gari ni mbovu ukilinganisha na mjapan! ubora waliokuwa nao ni kufanya mambo rahisi kuwa magumu. Hakuna gari bora kwa reliability kama mjapani.
Ubora na Bei za hayo magari yapo tofauti kabisa Porsche unafananisha na BMW X 4 au umeweka tuu porsche matoleo yake ni magari bora ever SA yenyewe gari zimejaa kama simu lakini Porshe panorama au Cayanna ni gari za adabu huwezi fananisha na matoleo hayo hata siku moja...