E Engineer mkuu Member Joined Oct 11, 2014 Posts 99 Reaction score 21 Jun 17, 2016 #1 Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664
Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,016 Jun 17, 2016 #2 Engineer mkuu said: Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664 Click to expand... Mkuu nitumie picha ya nyumba ndogo za kisasa zenye thamani ya kati ya milioni 10 mpaka 15.Namba yangu ni 0713724242
Engineer mkuu said: Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664 Click to expand... Mkuu nitumie picha ya nyumba ndogo za kisasa zenye thamani ya kati ya milioni 10 mpaka 15.Namba yangu ni 0713724242
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,662 Reaction score 3,199 Jun 17, 2016 #3 Ungeweka hata tuvipicha viwili ili kuvutia zaidi biashara mkuu
K Kishada04 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 954 Reaction score 345 Jun 17, 2016 #4 Weka sample na bei zake.
CHIEF MGALULA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,190 Reaction score 889 Jun 19, 2016 #5 Sample Na Bei Ni Muhimu
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,318 Jun 19, 2016 #6 Bei chee sh ngapi? Ukiona mtu haweki bei muogope,kuna Jamaa alisema hivi hivi kumcheck inbox bei yake balaa anasema kuchora ramani ya kuipeleka manispaa kwa vibali ni 1.5m nikachoka hoi.
Bei chee sh ngapi? Ukiona mtu haweki bei muogope,kuna Jamaa alisema hivi hivi kumcheck inbox bei yake balaa anasema kuchora ramani ya kuipeleka manispaa kwa vibali ni 1.5m nikachoka hoi.
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Jul 6, 2016 #7 jembelamkono said: Mkuu nitumie picha ya nyumba ndogo za kisasa zenye thamani ya kati ya milioni 10 mpaka 15.Namba yangu ni 0713724242 Click to expand... Kama nami nitumie ramani za vyumba vinne, sebule na choo kabisa.... 0757848484
jembelamkono said: Mkuu nitumie picha ya nyumba ndogo za kisasa zenye thamani ya kati ya milioni 10 mpaka 15.Namba yangu ni 0713724242 Click to expand... Kama nami nitumie ramani za vyumba vinne, sebule na choo kabisa.... 0757848484