Ramani ya Nyumba inauzwa

Ramani ya Nyumba inauzwa

Patrick Peter Msuya

New Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
3
Reaction score
2
Ina 3 bedroom one master two self-contained ,Living room,Dining,Kitchen,store and common toilet ....Ramani inaenea katika kiwanja cha 20x20 meter plot =400 sqm Ramani inapatikana kwa bei poa wasiliana kwa no 0656315566
04aadeb49350fd18e60b5dd596fc0234.jpg
 
Hivi software gani unatumia..mimi natumia archicad 12 ila haitoi picha nzuri hivyo
Njoo uchukue Archicad 20 na Artlantis 6 na Lumion 5 utaboresha kazi zako
 
Ina 3 bedroom one master two self-contained ,Living room,Dining,Kitchen,store and common toilet ....Ramani inaenea katika kiwanja cha 20x20 meter plot =400 sqm Ramani inapatikana kwa bei poa wasiliana kwa no 0656315566https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/04aadeb49350fd18e60b5dd596fc0234.jpg[/

hua ramani haiuzwi bali kinacho uzwa huduma ya usanifu wa majengo, engineering, construction cost management nk.
unachokifanya apo ni kutangaza unauza viungo vya pilau wakati alieko gengeni hata hajasema anahitaji kwenda kupika nn.
 
si njia bora kuseema unauza ramani.
hua kinachotakiwa kuuzwa ni service ya usanifu majengo, uhandisi, ukadiriaji majengo nk..
unachofanya hapo ni kutangaza unauza viungo vya pilau, wakati mpishi hayupo, hajajitokeza na kusema anaenda kupika nn na walaji pia huwafahamu wanahitaji nn. una mengi bado yakujifunza ikiwemo kutotangaza huduma hizi sbb ni kinyume cha sheria!
 
Mlishapata mteja kama bado niambie kabla haijawahiwa
 
Hali ngumu hivi unauza ramani !!! Pole sana, siku hizi watu wanatembelea site za ujenzi na kuiba ramani kwa macho!!
 
Jifunze vizuri 3D Rendering kabla ya kuiweka kazi yako public!
Ni ushauri tu!
 
Ina 3 bedroom one master two self-contained ,Living room,Dining,Kitchen,store and common toilet ....Ramani inaenea katika kiwanja cha 20x20 meter plot =400 sqm Ramani inapatikana kwa bei poa wasiliana kwa no 0656315566 Tafadhali Weka ground/floor plan
04aadeb49350fd18e60b5dd596fc0234.jpg
 
si njia bora kuseema unauza ramani.
hua kinachotakiwa kuuzwa ni service ya usanifu majengo, uhandisi, ukadiriaji majengo nk..
unachofanya hapo ni kutangaza unauza viungo vya pilau, wakati mpishi hayupo, hajajitokeza na kusema anaenda kupika nn na walaji pia huwafahamu wanahitaji nn. una mengi bado yakujifunza ikiwemo kutotangaza huduma hizi sbb ni kinyume cha sheria!
hivi am just curious ..kama hawaruhusiwi kutangaza kazi zao watawafikiaje wateja wao...anyways ninachotaka kujua ni the reason behind hiyo sheria
 
umeonyesha mbele tu mbona,unyesha na sehemu nyingine tuone ilivyokaa ,especially nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom