Hizo zinajengeka tu ni finishing tu ndio inayogharamisha nyumba yako, mbona ni za kawaida sana, usiogope... nipe kazi nikuandalie inayofaa kwa ulinganifu wa kipato chakoGood job! Ila ningeshauri muwe innovative kidogo kuangalia uwezekano wa kudesign hata nyumba za watu wa vipato vya chini maana naona ndugu zangu mna focus kwenye high end market. In all, great work. Naamini wenye MAWE yao watakuja humu mzungumzane.
ladha ya kazi ni je unaijengaje na je techinical style zipi unapenda, wakati mwingine watz hatupendi complicated design kwa lengo tu la kuepuka gharama za majenziCan you Architects get a little more creative? I find these plans to be plain vanilla.
Alwatani namba yenu ni ipi mkuu au tunawasiliana humu humu JF, kiwandani kwenu mpo wapi mkuu??Milango imara ya mbao Aina ya Mninga, Mkongo, Mkarambati, na Mpilipili orginal, 900mm na 1200 mm kwa bei nafuu sana, wasiliana nasi View attachment 319375View attachment 319378View attachment 319379View attachment 319380