Ramani mbalimbali za nyumba, for your wish!

Hizo nyumba ama shule?................tafakuri
Sp
 
Nitafutie project ya kipato cha kati, gharama zako zikoje? au una jf member unapata nafasi?
SP
 
mkuu ramani naweza kuzipata mkuu?

Nilipotea kidogo online...sorry, ramani gani unazihitaji mkuu? We niambie tu unahitaji nyumba ya aina gani,vyumba vingapi na viweje...the rest niachie,just within 2 days ntakupatia na gharama halisi kuanzia foundation mpaka roof na finishing yake
 
Nitafutie project ya kipato cha kati, gharama zako zikoje? au una jf member unapata nafasi?
SP

Kwa JF member utapata tu nafasi...ni ela ndogo sana, haizidi laki!! na utaipenda nikikutumia!!
 
Nilipotea kidogo online...sorry, ramani gani unazihitaji mkuu? We niambie tu unahitaji nyumba ya aina gani,vyumba vingapi na viweje...the rest niachie,just within 2 days ntakupatia na gharama halisi kuanzia foundation mpaka roof na finishing yake

itanigharimu kiasi gani mkuu?
 
Nilipotea kidogo online...sorry, ramani gani unazihitaji mkuu? We niambie tu unahitaji nyumba ya aina gani,vyumba vingapi na viweje...the rest niachie,just within 2 days ntakupatia na gharama halisi kuanzia foundation mpaka roof na finishing yake
mi nahitaji nyumba yenye master room moja, guest room moja, vyumba viwili ya watoto na sebule moja.
mtindo wa kisasa wa ki western(kizungu) lakini simple.
 
Ok haina shida, ikiwa na muonekano wa namna hii utaipenda? It may look like that accordingly, hii ni sample tu ofcoz

Mkuu nyumba kama hiyo inahitaji kiwanja chenye ukubwa gani in terms of sqm ur*upana??
 
ok. nimekusoma kwenye gharama za ramani. na hizo zingine za nyumba?
Inategemea na mahitahi yako...nyumba moja mwingine anaweza kutumia mil 50 na mwingine mil 20 tu...!! Ila kuna standards zake flani flani ambazo ni approximately!! Mara nyingi usimamizi wa nyumba ni muhimu coz mafundi huwa ndio wanaongeza gharama sana!!
 
Ok haina shida, ikiwa na muonekano wa namna hii utaipenda? It may look like that accordingly, hii ni sample tu ofcoz

Mkuu, nyumba ni nzuri, lakini mbona hazina choo na bafu.

Una ramani zilizo na permit ya manisipaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…